Songtexte.com Drucklogo

Sijaskia Vibaya Songtext
von Fena Gitu

Sijaskia Vibaya Songtext

Fena na na na mmh
Ata sijaskia vibaya mmmh
Ata sijaskia vibaya
No

Yoh, yoh
Nimeshinda nikiomba Khali collabo
Miaka mingi ananiambia, "Mmh bado" (bado)
Ata sijaskia vibaya
Ata sijaskia vibaya

Akanishow, "Rudi studio
Okata kadoh before you call Jones to be in your video" (video)
Ata sijaskia vibaya mmh (ata sijaskia vibaya)

Nikamshow "You just give me one year
I′ll be ranking shows from the front to the rear
You gonna wish you gave me that chance utalia"
(Utaniomba lift in my private lia)
Hehe, enyewe nilikuwa nimeskia vibaya


Siku izi me ndoga nanyimana collab
Nimepanda bei (bei)
Nimepanda gwan
Wacha waskie vibaya (kabisa)
Wacha waskie vibaya (kabisa)

Sasa me ni donga number one
Boss lady waskie vibaaya
Nimekuwa chini nikihustle
Daily na sina ubaaya (ata sijaski vibaya)

Shikisha kama veve Eastleigh
Nawashikisha na manjeve baridi (baridi)
Kuzidi mtazidi wazidi kuskia vibaaya
(Ata sijaskia vibaya)

Ohh Wacha waskie vibaya (hmm)
Wacheke na we wakutakie mabaya
Kwangu kila la heri Mungu wangu halali
Wakidhani ntafail Nazi hadi ulaya

Aha, Napiga luku na swegg hadi ni retire eeh
Najaza buku kwa deni bregi ni fire
Nipate mwisho wa mwezi cheki ni wire
Napiga picha selfie kwa benki na sina haya


Chema chajiuza ni ya leo, ni ya leo, ni ya leo
Kuuza tutauza ni ya leo, ni ya leo, ni ya leo
Nywele paka mafuta (ni ya leo, ni ya leo, ni ya leo)
Kuuza tutauza (ni ya leo, ni ya leo, ni ya leo)

Sasa me ni donga number one
Boss lady waskie vibaaya (ata sijaskia vibaya)
Nimekuwa chini nikihustle
Daily na sina ubaya

Nashikisha kama veve Eastleigh
Nawashikisha na manjeve baridi
(Ata sijaskia vibaya)
Kuzidi mtazidi wazidi kuskia vibaaya

(Natena, natema, napenda, ni tamu)
Wasikie wasikie, usike, usike, usike mmh
Wasikie, vibaaya (kama hema)
Wasikie wasikie, usike, usike, usike mmh
Wasikie, vibaaya

(...Watu watoe jacket, haha juu ya joto)
Mmh Wasikie wasikie, wasikie
Uuh wasikie vibaaya eeh
Fena – na – na na na Njuguna na na na na
Uuh me ndo Njuguna sijaskia vibaya, haa
Njuguthee, sai umeskia vibaya haa)

Sasa me ni donga number one
Boss lady waskie vibaaya (uhh)
Nimekuwa chini nikihustle
Daily na sina ubaaya

Nashikisha kama veve Eastleigh
Nawashikisha na manjeve baridi
Kuzidi mtazidi wazidi kuskia vibaaya

Sasa me ni donga number one
Boss lady waskie vibaaya
Nimekuwa chini nikihustle daily
Na sina ubaaya yeye

Nashikisha kama veve Eastleigh
Nawashikisha na manjeve baridi (hoiyee)
Kuzidi mtazidi wazidi kuskia vibaaya
Sasa me ni donga
Boss lady wasikie vibaaya

Songtext kommentieren

Log dich ein um einen Eintrag zu schreiben.
Schreibe den ersten Kommentar!

Beliebte Songtexte
von Fena Gitu

Quiz
Wer besingt den „Summer of '69“?

Fans

»Sijaskia Vibaya« gefällt bisher niemandem.